WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • AWAMO YA TATU YA UPIMAJI CORONA EPL WAGUNDUA WAGONJWA WANNE

AWAMO YA TATU YA UPIMAJI CORONA EPL WAGUNDUA WAGONJWA WANNE

Watu wanne kutoka klabu 3 wamepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona katika idadi ya wafanyakazi 1,008 wa vilabu vya Ligi Kuu nchini England waliopimwa katika mzunguuko wa tatu wa upimaji wa virusi vya Corona.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More