Arsenal yamtolea macho beki wa Dortmund May 22, 2020 Share Klabu ya Arsenal imeripotiwa kutenga kiasi cha pauni milioni 25 ili kuishawishi Borussia Dortmund ya Ujerumani iwauzie beki wao Manuel Akanji.