WS14 – WorldSports14

ANTHONY JOSHUA AANDAMA WATFORD KUPINGA UBAGUZI

Bondia wa England mwenye asili ya Nigeria Anthony Joshua ameungana na mamia ya waandamanaji katika mji wa Watford walioandamana kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi.

Maandamano hayo yanakuja kufuatia kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd, Movement hiyo inajulikana kwa jina la Black Lives Matter ikiwa inaungwa mkono na watu weusi mbalimbali Duniani.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More