WS14 – WorldSports14

AFRIKA KUSINI WAMFUNGIA KOCHA WA YANGA

Chama cha mpira wa miguu Afrika Kusini (SAFA) kimekusudia kumfungia kufanya kazi nchini kwao Afrika Kusini aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga SC Luc Eymael ambaye alifutwa kazi Julai 27 2020 kwa makosa ya ubaguzi wa rangi.

SAFA pia imeandika barua kwa CAF na FIFA kutaka kocha huyo aadhibiwe zaidi kwa alichokifanya Tanzania.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More